BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SEHEMU YA JUU YA KITUO CHA DALDALA KIKIWA KINAONEKA KWA JUU.


SEHEMU YA KITUO CHA DALADALA KIKIONEKANA KWA JUU BAADA YA KUTOKEA KWA MGOMO ULIOFANYWA NA UMOJA WA MADEREVA WAKIPINGA KIWANGO CHA KUTOZA USHURU WA STENDI HIYO YA SH 300 KWA KILA DALADALA LINAPOTOKA BAADA YA KUKATALIWA KWA OMBI LAO LA KULIPA SH 800 KWA KUTWA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA MOROGORO NA KULETA ADHA YA USAFIRI KWA WAFANYAKAZI WA SERIKALINI NA WANAFUNZI WA SHULE ZA SEKONDARI NA MSINGI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: