BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

UKAGUZI WA KITUO KIDOGO CHA POLISI KIMEUZULIWA PAA NA UPEPO.


MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI MKOA WA MOROGORO HAMIS SELEMAN KUSHOTO AKIWA NA MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AZIZ ABOOD MARA BAADA YA KUANGALIA KITUO CHA POLISI KIDOGO CHA KIKUNDI KUFUATIA KITUO HICHO KUEZULIWA PAA LA MBELE NA UPEPO HAPO AKIANGALIA NAMNA YA UPATIKANAJI WA MBAO PAMOJA NA BATI ILI KUWEZA KUEZEKWA NA KUENDELEA KUTOA HUDUMA KWA WAKAZI WA KATA YA SULTAN NA JIRANI.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: