BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ULINZI SPORT CLUB ILIPOTWAA TAJI KOMBE LA MEI MOSI MORO.


Nohodha wa timu ya soka ya Ulinzi Sport Club Charles Thimoth akifurahia kombe baada ya timu yake kutwaa ubingwa wa mashindano ya Mei Mosi kwa kuifunga Tumbaku Fc katika mchezo wa fainali ambapo kombe hilo watakabidhiwa Rais Jkaya Kikwete katika kilele cha sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa mkoani Morogoro uwanja wa Jamhuri kuatia ushindi wao wa bao 2-1.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: