MAFUNZO YATOLEWA KWA MADEREVA WA MABASI TANZANIA NA WAMILIKI WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI YAFANYIKA MOROGORO.
Mkurugenzi wa chuo cha mafunzo stadi kanda ya Mashariki (VETA) Sylvester Nyambo akifurahia jambo na Mkuu wa wilaya ya Mvomero Fatuma Mwassa baada ya mkuu huyo wa wilaya kufungua mkutano wa chama cha madereva wa mabasi Tanzania na wamiliki wa vyombo vya usafirisaji uliofanyika Bwalo wa Umwema la JKT mjini hapa, kulia ni kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Morogoro Adolfina Chialo.
0 comments:
Post a Comment