Mwanafunzi wa shule ya msingi Nguzo Manispaa ya Morogoro akiwa amempakia mwenzake katika baiskeli ambaye baskeli yake ilikuwa na matatizo wakati wakirudi nyumbani mara baada ya kumalizika kwa masomo ya kutwa katika eneo la Mwere mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment