AJALI YA BASI LA HOOD KAATIKA HIFADHI YA WANYAMA YA MIKUMI MOROGORO JULAI 20, 2011.
BASI LENYE NAMBA YA USAJILI T 762 AVL MALI YA KAMPUNI YA MABASI YA HOOD TRANSIPOTER YENYE MAKAZI YAKE MAKUU MKOANI MOROGORO LIKIWA LINAOKENA KWA MBELE BAADA YA KUTOKAE AJALI NA KUUNGUA MOTO WAKATI KILITOKEA MKOANI MBEYA LIKIHUSISHWA NA LORI AINA YA FAW T 592 AVQ LILILOKUWA LINATOKEA DAR ES SALAAM KUELEKEA SONGEA KUPATA AJALI KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI MKOANI MOROGORO NA WATU ZAIDI YA WATATU KUFARIKI DUNIA PAPO HAPO KATIKA TUKIO HILO NA MAJERUHI 41 KUKIMBIZWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment