MMILIKI WA KAMPUNI YA HOOD AZUNGUMZA NA WAANDISHI JUU YA AJALI.
Mmiliki wa kampuni ya mabasi ya Hood, Mohamed Hood ambaye ni Mwenyekiti wa chama cha wamiliki wa basi Tanzaania ( TABOA) akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro kufuatia basi la kampuni hiyo lenye namba ya usajili T 762 AVL kupata ajali na lori T 592 AVQ katika hifadfhi ya taifa ya wanyama ya Mikumi muda mfupi baada ya kuwaona majeruhi wa ajali hiyo kwenye hospitali hiyo mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment