NAWEKA SILAHA ZA JADI KUWAKUMBUKA MASHUJAA VITA YA KAGERA 1978 NA 1979.
KANALI MSTAAFU JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA(JWTZ) LIHAMBA KOMBANI (87)AKIWEKA SILAHA ZA JADI SHOKA NA PANGA WAKATI WA ZOEZI LA MASHADA KATIKA KILELE CHA SIKU YA KUWAKUMBUKA WALINZI WA TAIFA WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA VITA YA KAGERA MWAKA 1978 NA 1979 ZILIZOFANYIKA KIMKOA WA MOROGORO KWENYE MNARA WA KUMBUKUMBU WA MASHUJAA ENEO LA POSTA MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment