HII NI ISHARA YA UPENDO KWAO BW NESTORY KAIZA NA BI JENEFFER KETO KWA KUWAONYESHA UMATI ULIOHUDHURIA HAFLA YAO YA NDOA KWA KULISHANA KEKI KATIKA MTINDO HUO, (DAH NOMA WASHIKAJI SIJUI AIBU SIKU HIYO YA BABA MKWE NA MAMA MKWE WALIWEKA WAPI HAPA ?) LAKINI NI KATIKA UTEKELEZAJI WA AHADI YAO WALIYOIWEKA WAKATI WA UCHUMBA WAO LAKINI NI KATIKA KUTEKELEZA WA AHADI YAO WALIYOPANGA WANANDOA HAO.
BW NESTORY KAIZA NA BI JENEFFER KETO WAKIWA WENYE FURAHA MARA BAADA YA KUFUNGA PINGU ZA MAISHA KATIKA KANISA KUU LA ROMA LA ST PATRICK JIMBO KUU LA MOROGORO KISHA WANANDOA HAO KUUNGANA NA MGUDU, JAMAA NA MAFARIKI KATIKA SHEREHE YA KUKATA NA PANGA ILIYTOFANYIKA UKUMBI WA BWALO LA JWTZ KATIKATI YA MANISPAA YA MOROGORO, UONGOZI WA JOPO ZIMA LA BLOGU HII INAWATAKIA MAISHA MEMA YENYE UPENDO WA ASILIMIA 100% KILA SIKU, AMEN.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment