SASA UMEAMINI.
BRYSON KITALI AKIMVISHA PETE FABIANA KAGONDA YA UCHUMBA KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA UKUMBI WA BWALO LA POLISI JAMHURI MOROGORO ILIYOKUTANISHA NDUGU, JAMAA, MAFARIKI NA MAJIRANI WA PANDE MBILI ZA VIJANA HAO AGOSTI 06, 2011 2011 AMBAO SHEREHE YA KUMUGA FABIANA INATARAJIWA KUFANYIKA KATI YA MWEZI WA 11 NA 12 MWAKA HUU MJINI MOROGORO KISHA KUFUATIWA NA NDOA INAYOTARAJIWA KUFUNGWA JIJINI DAR ES SALAAM MWAKA HUU.
JOPO ZIMA LA BLOGU HII INAWATAKIWA MAANDALIZI MEMA YA SHUGHULI HIYO,
INSHALAAH.
0 comments:
Post a Comment