KIBAKA TWENDE KITUONI.
ASKARI KANZU WAWILI NA USALAMA BARABARANI WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO WAKIWA NA KIJANA WALIOMNUSURU KUTOKA KWA WANANCHI WAKIMPA KICHAPO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA SIMU KUTOKA KWA MWANAMKE STENDI KUU YA DALADALA ZIENDAZO NJE YA MANISPAA HIYO WAKATI WAKIMPELEKA KITUO KIKUU CHA POLISI MKOANI HAPA.
0 comments:
Post a Comment