BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUPO KATIKA OPERESHENI YA KUWAONDOA WANANCHI KATIKA MAKAZI YA WAFUGAJI.


KIKOSI MAALUM CHA JESHI LA POLISI AMBACHO KIPO KATIKA KIJIJI CHA KONGWA TARAFA YA MVUHA WILAYA YA MOROGORO VIJIJINI KIKIWAONDOA WANANCHI WA KIJIJI HICHO KATIKA MAKAZI YA WAFUGAJI YALIYOPO KITONGOJI CHA LUKONI BAADA YA KUZUKA KWA VURUGU KATI YA WAKULIMA NA WAFUGAAJI AMBAPO HALI HIYO WANANCHI WALICHOMA NYUMBA SABA ZA WAFUGAJI NA KUHARIBI MALI MBALIMBALI KWA MADAI YA KULIPIZA KISASI CHA KUPIGWA NA WAFUGAJI NA KULISHA MIFUGO KATIKA MASHAMBA YA WAKULIMA SEPTEMBA 3, 2011.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: