KIKOSI CHA POLISI MORO SC KILICHEZA FAINALI DHIDI YA MASKANI FC MASHINDANO YA KAMANDA CHIALO 2011
MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA WA TATU KUTOKA KUSHOTO WALIOSIMAMA AKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA KIKOSI CHA POLISI MOROGORO SC KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO WA FAINALI DHIDI YA MASKANI FC NA KUTANDIKWA BAO 2-1 NA WA TATU KUTOKA KULIA WALIOSIMAMA NI KAMANDA WA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLFINA CHIALO.
0 comments:
Post a Comment