KIKOSI CHA MASKANI FC KILICHOCHEZA FAINALI DHIDI YA POLISI MOROGORO SC MASHINDANO YA KAMANDA CHIALO 2011
KIKOSI CHA TIMU YA MASKANI FC WAKIWA KWENYE PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA MKOA WA MOROGORO JOEL BENDERA WA PILI WALIOSIMAMA KUTOKA KUSHOTO NA KAMANDA WA POLISI MKOA WA MOROGORO ADOLFINA CHIALO WA TATU KUTOKA KULIA WALIOSIMAMA KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO WA FAINALI KATI YAO NA POLISI MOROGORO NA KUWAFUNGA BAO 2-1 KWENYE UWANJA WA SHUJAA.
0 comments:
Post a Comment