BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Dede Ayew ashinda tuzo ya BBC


Dede Andre Ayew 21.

Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black stars na klabu ya nchini Ufaransa,Marseille, Andre 'Dede' Ayew ameshinda shindano la mcheza soka bora wa Afrika mwaka 2011 linaloandaliwa na BBC.

Kijana huyo mwenye umri wa miaka 21 alishinda kwa theluthi ya kura zote zilizopigwa na wasikilizaji na hivyo akifuata nyayo za babake Abedi Pele Ayew aliyeshinda shindano hilo mnamo mwaka 1992.

Ayew alifuatiwa na Yaya Toure wa Ivory Coast na klabu ya Manchester City kwa karibu na pia mchezaji mwingine wa Ivory Coast, Gervinho, Samuel Eto'o wa Cameroon na Seydou Keita kutoka Mali walishindwa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: