BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

FAINALI YA KIKAPU CBE NA MIPANGO SHIMIVUTA MOROGORO.

Mchezaji wa timu ya chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini, Adam Gwebe kulia akimtoka Mkumbo Mgendi wa chuo cha elimu ya biashara (CBE) wakati wa fainali ya mchezo wa kikapu katika mashindano ya shirikisho la michezo la vyuo vya elimu ya juu mchanganyiko Tanzania (SHIMIVUTA) kwenye uwanja wa Bwalo la JKTZ mkoani Morogoro ambapo katika mchezo huo CBE ilishinda kwa vikapu 39-40 mkoani hapa.


Mchezaji wa timu ya chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini, Adam Gwebe akimtoka Mkumbo Mgendi wa chuo cha elimu ya biashara (CBE) wakati wa fainali ya mchezo wa kikapu mashindano ya shirikisho la michezo la vyuo vya elimu ya juu mchanganyiko Tanzania (SHIMIVUTA) uwanja wa Bwalo la JKTZ mkoani Morogoro, kushoto ni mchezaji wa Mipango, Karimu Thabiti akijiandaa kutoa msaada ambapo katika mchezo huo CBE ilishinda kwa vikapu 39-40 mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: