ZAWADI YA MSHINDI WA KWANZA KIKAPU SHIMIVUTA KWA CBE 2011/2012.
MSTAHIKI MEYA WA MANISPAA YA MOROGORO AMIR NONDO KUSHOTO AKITOA ZAWADI YA KOMBE NA MPIRA KWA NAHODHA BENEDICT MASASI WA TIMU YA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA (CBE)ULIOTOLEWA NA MAKAMU MWENYEKITI WA TUSAA TANZANIA USA STATE ALUMNI ASSOCIATION, YAANI MUSIRA KUFUATIA KUIFUNGA TIMU YA CHUO CHA MIPANGO NA MAENDELEO VIJIJINI (IRDP) KATIKA MASHINDANO YA SHIMIVUTA KWA VIKAPU 40-39.
0 comments:
Post a Comment