JAMANI WAANDISHI TUPENDANE NA TUSHIRIKIANE.
MWANAFUNZI WA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NGAZI YA STAHAHADA MKOA WA MOROGORO(MSJ) VIDA KAMUGISHA AKICHANGIA MADA JUU YA KUWEPO NA USHIRIKIANO KUBWA KATI YA WAANDISHI CHIPUKIZI NA WAZOEFU WAKATI WA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WA HABARI AMBAPO ZAIDI YA WAANDISHI NA WADAU WAO 100 WALIHUDHURIA KWENYE UKUMBI WA NEW SAVOY MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment