MKUU WA KITENGO CHA POLISI JAMII TUSHIRIKIANA JAMANI KUFICHUA WAALIFU.
MKUU WA KITENGO CHA POLISI JAMII MKOA WA MOROGORO, IDDI IBRAHIM AKIZUNGUMZA JUU YA UMUHIMU WA WAANDISHI WA HABARI NA JESHI LA POLISI KUHUSU NAMNA YA KUENDELEZA KUSHIRIKIANA ILI KULETA MANUFAA KATIKA UTENDAJI WA KAZI WA PANDE MBILI HIZO AMBAZO ZITALETA FAIDA KUBWA WAKATI WA MKUTANO WA WANAHABARI NA WADAU WA HABARI MKOANI MOROGORO.
0 comments:
Post a Comment