BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

JENGO REFU KULIKO YOTE MKOA WA MOROGORO HILI HAPA..


JENGO NDEFU KULIKO YOTE KATIKA MKOA WA MOROGORO LENYE GOLOFA SITA LIKIWA KATIKA HATUA ZA MWISHO ZA KUKAMILIKA KWA UJENZI WAKE AMBALO LITAJULIKANA KWA JINA LA GWAMI HOTELI LILILOPO JIRANI NA STENDI KUU YA MABASI YAENDAYO MIKONI YA MSAMVU MKOANI HAPA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

update kuhusu jengo hili kwanini sasa limeisha na kuna majengo mengine kama hili au zaidi.Kwetu ndio kwetu kaka.