BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MANCHESTER CITY YATANDIKWA 2-1 NA CHELSEA LIGI KUU YA ENGLAND.


Lampard asherehekea baada ya kufunga bao.

Penalti ya Frank Lampard ndiyo iliyowapa ushindi Chelsea na hii ilikuwa mechi ya kwanza kwa Manchester City kupoteza msimu huu baada ya kukubali kipigo cha bao 2-1.

Mshambuliaji Mario Balotelli aliipatia Manchester City goli la mapema lakini Chelsea ikasawazisha kupitia kwa Raul Meireles kabla ya mapumziko katika mchezo mkali na kusisimua wa ligin kuu ya England.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: