MNAONA GWALIDE LINAVYOPIGWA KWA UKAKAMAVU.
Afisa Mteule Daraja la pili katika JWTZ, Peter Mlangwa akionyesha namna ya kutembelea mwendo wa haraka kwa mgambo wa wilaya za Morogoro na Mvomero ambao wapo kwenye zoezi kwa ajili ya maonyesho ya gwalide wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru itayofanyika kimkoa huo kweenye uwanja wa Jamhuri mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment