BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA YA PAMOJA WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WA HABARI BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO.


MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ABDULLAZIZ ABOOD WA TATU KUTOKA KUSHOTO WALIOKAA AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA BAADHI YA WAANDISHI WA HABARI NA VIONGOZI WA MOROGORO PRESS CLUB MOROGORO MARA BAADA YA KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA WAANDISHI WA HABARI NA WADAU WA HABARI KWENYE UKUMBI WA HOTELI YA NEW SAVOY MKOANI HAPA, KUTOKA KUSHOTO WALIOKAA NI MKUU WA MKOA WA MOROGORO MSTAAFU STEVEN MASHISHANGA, MWENYEKITI WA MOROGORO PRESS CLUB AZIZ MSUYA NA KUTOKA KULIA NI MWANDISHI MAJIRA MOROGORO JAMES MKISI, MJUMBE WA KAMATI YA MAADILI RASHID LUSEWA NA KATIBU MTENDAJI WA MOROGORO PRESS CLUB MOROGORO ABEID DOGOLI AMBAPO KWENYE MKUTANO HUO ZAIDI YA WAANDISHI NA WADAU 100 WALIHUDHULIA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: