BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LAKINI HAPA YAKAINGIA DOSARI BAADA YA ASKARI KUFYATUA MABOMU YA MACHOZI NA WENGINE KUJERUHIWA.


MGENI ATHAMAN AKIWA AMEJERUHIWA KATIKA KICHWA CHAKE BAADA YA KUPIGWA NA ASKARI WALIOKUWA WAKIZUIA MAANDANO YA WANAFUNZI WA KIISLAMU WASIENDE KWA AFISA ELIMU MKOA WA MOROGORO BARABARA KUU YA KWENDA KWA MKUU WA MKOA HUO.

MTOTO MUUMINI WA DINI YA KIILSLAM AKIWA AMEJIZIBA KITAMBAA USONI KUZUIA MOSHI WA MABOMU YA KUTOA MACHOZI HUKU AKIONGOZWA NA MUUMINI WA DINI HIYO BAADA YA ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO KUFYATUA MABOMU YA MACHOZI WAKATI WANAFUNZI WAKIELEKEA KATIKA OFISI YA AFISA ELIMU MKOA WA MOROGORO FATUMA KILIMIA KWA AJILI YA KUWASILISHA UJUMBE WAO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: