BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TUNADAI HAKI YETU.



Waumini wa dini ya kiislma Manispaa ya Morogoro wa kikume na kike wakiwa katika picha mbili tofauti wakati wa maandano ya kwenda kwa Afisa Elimu mkoa wa Morogoro FATUMA KILIMIA kwa ajili ya kuwasilisha ujumbe wao wa kupinga kitendo cha wanafunzi 20 wa shule ya sekondari Ndanda kufukuzwa shule kwa ajili ya imani ya dini hiyo hivi karibuni ambayo yalifanyika leo mkoani hapa.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: