Askari wa usalama barabara mkoa wa Morogoro PC, Kwinus Bille akikagua lori lenye namba ya usajili aina ya scania T 882 BDK lililokuwa libebeba mifuko ya saruji kupata ajali eneo la kijiji cha Mkundi barabara kuu Dodoma-Morogoro likitokea jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Kagera, waliohuhudia tukio hilo walidai kuwa chanzo ajali hiyo kilitokana na mti kuangukia barabarani.
AJALI YA LORI KIJIJI CHA MKUNDI MANISPAA YA MOROGORO.
Askari wa usalama barabara mkoa wa Morogoro PC, Kwinus Bille akikagua lori lenye namba ya usajili aina ya scania T 882 BDK lililokuwa libebeba mifuko ya saruji kupata ajali eneo la kijiji cha Mkundi barabara kuu Dodoma-Morogoro likitokea jijini Dar es Salaam kuelekea mkoani Kagera, waliohuhudia tukio hilo walidai kuwa chanzo ajali hiyo kilitokana na mti kuangukia barabarani.
0 comments:
Post a Comment