Baadhi ya waandishi wa habari na wanaharakati wa haki za binadamu kutoka mkoani Morogoro wakitazama nyumba ya Fatuma Mohamed iliyovunjwa na tigatinga kwa amri ya mahakama. Zaidi ya nyumba 50 za kitongoji cha Mateteni, kijiji cha Mbigiri, tarafa ya Magore wilaya ya Kilosa zilivunjwa na kusababisha watui zaidi ya 160 kukosa makazi. Kando kando ni hema lililojengwa kwa muda na juu kuezekwa kwa nyasi ili kuwasitili wakazi wa nyumba hiyo.

0 comments:
Post a Comment