Mwanafunzi wa kidato cha tatu shule ya sekondari ya wasichana wenye jipaji ya Kilakala, Lilian Mbwefu akinengua mbele ya wanafaunzi wenzake wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya wanawake duniani huku ikiwa imebeba ujumbe wa ushiriki wa wasichana unachochea maendelea iliyoadhimishwa kiwilaya uwanja wa Jamhuri mkoani hapa.
Mkuu wa wilaya ya Kilosa naKaimu mkuu wa wilaya ya Morogoro na Mvomero Halima Dendegu akiwahutubia wanawake waliohudhuria kilele cha siku ya wanawake duniani iliyoadhimishwa kiwilaya ya Morogoro marhci 08 mwaka huu mkoani hapa.
Sehemu ta waandamanji ambao ni wanafunzi wa chuo cha ufundi stadi kIHONDA Morogoro (VETA) wakiingia kwenye uwanja wa Morogoro wakiwa na bango lenye ujumbe unaosomeka "wanawake ni chachu ya maendeleo'' wakati wa maandamano kuadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani iliyofanyika kiwilaya ya Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani hapa
Wanawake wa kutoka kata ya Mlimani Manispaa ya Morogoro wakiwa na bango lenye ujumbe "mwanamke apunguziwe majukujmu" wakati wa maandamano kuadhimisha kilele cha siku ya wanawake duniani iliyofanyika kiwilaya ya Morogoro kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment