
Waumini wa dhehebu la mabohora Manispaa ya Morogoro wakiwa katika maandamano ya kusherehea miaka 101 ya kuzaliwa kwa kiongozi wao mkuu Sultan Elbohora Dkt Syedna Mohammed Burhanddin Saheb (T.US) yaliyoanzia katika msikiti mkuu mtaa wa uliopo Old Dar es Salaam na kutembea hadi Masika ambapo kila mwaka huanzimishwa kwa matembelezi ya amani mkoani hapa.
0 comments:
Post a Comment