KIONGOZI WA KAMBI UA UPINZANI KATIKA BUNGE LA JAMHURI WA MUUNGANO WA TANZANIA FREEMAN MBOWE WA KWANZA KULIA AKIFUATILIA IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU EDWARD MORINGE SOKOINE KATIKA KANISA LA ROMA KATOLIKI LILILOPEWA JINA LA SOKOINE WAME-DAKAWA WILAYANI MVOMERO PAMOJA NA WATOTO WA WAZIRI HUYO.
MKUU WA MKOA WA DODOMA DKT NCHIMBI WA KWANZA KULIA, NAIBU WAZIRI WA ARDHI. NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, MHE GOODLUCK OLE MEDEYE NA NAIBU WAZIRI WA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO MHE FENELLA MUKANGARA WAKIWA KATIKA IBADA HIYO YA MISA.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment