BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KARANGA TUNASUBIRI WATEJA STENDI KUU YA DALADALA

Wasichana wachuuzi wa karanga katika Manispaa ya Morogoro wakisubiri wateja wao katika stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya mji huo ambapo wamekuwa wakiuza kiasi cha sh 200 hadi 500 kulingana na ukubwa wa vipimo.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: