Askari wa kikosi cha FFU jeshi la polisi mkoa wa Morogoro wakipiga hewani risasi baridi mara baada ya kumalizika kwa shughuli za mazishi ya aliyekuwa mchezaji wa klabu ya Polisi Shinyanga marehemu, Benedict Tabeji maarufu kwa jina la Joseph Tabeji aliyefariki dunia April 14 kwa ajli ya pikipiki mkoa Shinganya eneo la Savana ikihusihswa na lori aina ya scania T315 AEU katika barabara kuu Mwanza-Shinganya na kuzikwa katika makaburi ya Kola mkoani Morogoro.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / MAZISHI YA ALIYEKUWA MCHEZAJI WA KLABU YA POLISI SHINYANGA KATIKA MAKABURI YA KOLA MORO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment