BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TEMBO HIFADHI YA TAIFA YA WANYAMA YA MIKUMI MOROGORO.

TEMBO WAKIWA KATIKA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI MOROGORO KATIKA MATEMBEZI YAO YA KAWAIDA NDANI YA HIFADHI HIYO AMBAPO WATALII WA NDANI NA NJE WAMEKUWA WAKITEMBELEA KUONA WANYAMA AINA MBALIMBALI AMBAPO WAMEKUWA KIVUTIO IKIWEMO SIMBA, NYATI, TEMBO, SWALA, PUNDAMILIA, MAMBA, VIBOKO, NGIRI NA WENGINE WENGI WAPO NDANI YA HIFADHI HIYO AMBAPO IMEKUWA RAHISI KUTEMBELEA KWA KUTUMIA AINA MBILI ZA USAFIRI WA ANGA NA MAGARI KATIKA BARABARA KUU YA IRINGA-MOROGORO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: