WAZIRI MKUU MIZENGWE KAYANDA PINDA KATIKA IBADA YA MISA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA SOKOINE TANGUA KUFARIKI DUNIA MIAKA 28 ILIYOPITA.
WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANA, MIZENGO KAYANDA PINDA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI (HAWAPO PICHANI) WALIOHUDHURIA IBADA YA MISA TANGU KIFO CHA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU EDWARD MORINGE SOKOINE KATIKA KANISA LA SOKOINE WAMI-DAKAWA NJE KIDOGO NA ENEO AMBALO ALIPATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA MIAKA 28 ILIYOPITA WAKATI AKITOKEA DDODOMA KUELEKEA DAR ES SALAAM AMBAPO KILA APRIL 12 HUKUMBUKWA.
0 comments:
Post a Comment