BAADHI YA WAFANYAKAZI WA MFUKO WA PENSHENI KANDA YA MASHARIKI NA KATI (PPF) WAKIWA NA BANGO LENYE UJUMBE WA KAULI MBIU YA SHEREHE ZA MEI MOSI 2012 IKISOMEKA "MSHAHARA DUNI, KODI KUBWA NA MFUMUKO WA BEI NI PIGO KWA WAFANYAKAZI" WAKIONYESHA MBELE YA MGENI RASMI AMBAYE ALIKUWA MSTAHIKI MEYA MANISPAA YA MOROGORO AMIRI JUMA NONDO (HAYUPO PICHANI) WAKATI AKIPOKEA MAANDAMANO YA SHEREHE ZA WAFANYAKAZI KATIKA MANISPAA HIYO KWEENYE UWANJA WA JAMHURI MKOANI HAPA.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment