Askari wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa Morogoro akizisajili
pikipiki zaidi ya 120 kwenye kitabu mara baada ya kuzikamata sehemu
mbalimbali za Manispaa hiyo kutoka kwa waendesha pikipiki wake ambao
wanadaiwa kukiuka sheria za usalama barabarani ikiwemo kutofaa kofia
ngumu (Elment) na leseni wakati wa operesheni endelevu ya kukamata
pikipiki zenye makosa mbalimbali mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / Uncategories / BAADA YA KUZIKAMATA PIKIPIKI ZAIDI YA 120 SASA NI KAZI YA KUZIOROZESHA KATIKA KITABU.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment