Katibu Mtendaji wa baraza la habari (MCT) Kajubi Mukajanga kushoto akifungua mkutano wa kwanza wa mwaka wa mashauriano kati ya baraza la habari na wahariri wa vyombo vya habari wenye lengo la kuimarisha weledi na uwajibikaji wa taaluma ya habari Tanzania katika Hoteli ya Nashera Morogoro, wa pili Mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, Richard Mgamba na kulia ni Mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima Absalom Kibanda
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mwananchi (MCL), Theophil Makunga kushoto akifafanua jambo kwenye mkutano huo wakati wa ufunguzi, kulia ni Mhariri wa gazeti la Mtanzania jumapili Verocatus Makaranga.
Attilio Tagalile akichangia jambo katika mkutano huo na kushoto ni Mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, Richard Mgamba.
Wahariri watendaji, Denis Msaki kushoto wa gazeti la Mwananchi na Bakari Machumu gazeti la The Citizen wakifuarahia jambo wakati wakifuatilia mjadala katika mkutano huo.
Mhariri wa habari gazeti la Mwananchi Jumamosi, Neville Meena akielezea jambo wakati wa mojawapo ya mada.
Mhariri mtendaji wa gazeti la the guardian on sunday, Richard Mgamba akichangua mada.
Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Jose Kwayu akielezea.
Mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Absalom Kibanda kushoto akiongea na, Dina Chahale katikati na Mhariri Mtendaji wa gazeti la Nipashe, Jose Kwayu kulia mara baada ya ufunguzi wa mkutano huo nje ya ya hoteli ya Nashera Morogoro.
ISSUE TIME OFF SENIOR MEDIAMEN TO SHARE IDEAS ON THE WAY FORWARD TO A BETTER TANZANIA
MCL group managing editor. Theophil Makunga (right) share views with senior editor with Media Caouncil of Tanzania publications, Mr Hamis Mzee during Tanzania Editors' Forum conference in Morogoro. The MCT-Sponsred gathering aimed at discussing, among other things, media accountability to the citizenry.
Wahariri watendaji, viongozi wa baraza la habari Tanzania na watoa mada wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa mkutano wa kwanza wa mwaka wa mashauriani kati ya MCT na wahariri baada ya ufunguzi wake.
0 comments:
Post a Comment