MFANYABIASHARA wa kuuza matango na mihogo katika Manispaa ya Morogoro akimuuzia mteja wake muhogo na tango katika mtaa wa Fondogolo ikiwa njia mojawapo ya kijana huyo kujitafutia kipato ili kuweza kupata pesa za mahitaji mbalimbali ndani ya familia yake mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment