MLINZI WA KLABU YA YANGA JUMA ABDUL KUSHOTO AKITAFUTA MBINU YA KUMDHIBITI MSHAMBULIA WA MTIBWA SUGAR ISSA ISSA WAKATI WA MCHEZO WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA NA YANGA KUKUBALI KIPIGO CHA BAO 3-0 KATIKA UWANJA WA JAMHURI MOROGORO.

KIKOSI CHA YANGA KILICHOKUBALI KICHAPO CHA BAO 3-0 DHIDI YA MTIBWA SUGAR YA TURIANI MOROGORO UWANJA WA JAMHURI MOROGORO. 

MLINZI WA YANGA NADIR HAROUB (CANAVARO) AKIONDOA MOJA YA HATARI KWA KUPIGA MPIRA KWA KICHWA HUKU MSHAMBULIAJI WA MTIBWA SUGAR VINCET BARNABAS AKIWANIA MPIRA HUO. 

MSHAMBULIAJI WA YANGA HAMIS KIZA KULIA AKIMTOKA MLINZI WA MTIBWA SURA MALIKI NDEULIKE WAKATI WA MCHEZO HUO.
MFANYABIASHARA WA KUUZA JEZI AKINADI JEZI IKIWEMO YA MLINZI WA YANGA MBUYU TWITE WAKATI WA MCHEZO YANGA NA MTIBWA SUGAR KATIKA JUKWAA LA KLABU HIYO UWANJA WA JAMHURI MOROGORO. 

MASHABIKI SIMBA WAKIONYESHA JEZI YA OKWI HUKU MUNGINE AKIKIONYESHA ALAMA YA VIDOLE VITANO IKIWA NI ISHARA YA KUKUMBUSHA WAPENZI YANGA KUWA KLABU YAO ILITANDIKWA BAO 5-0 NA SIMBA.
![]() | |||||||||
ASKARI WAKIMDHIBITI MMOJA WA WAPENZI WA SOKA BAADA YA KUDAIWA KUFANYA FUJO KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO BAINA YA MTIBWA SUGAR NA YANGA. |
MLINZI WA YANGA MBUYU TWITE AKISALIMIA MASHABIKI KALBA YA KUANZA KWA YA KUANZA KWA MCHEZO BAINA YA MTIBWA SUGAR NA YANGA.
MSHAMBULIAJI WA YANGA SAIDI BAHANUZI KUSHOTO NA MLINDA MLANGO NAMBA MOJA YEW BERKO WAKISALI KABLA YA KUANZA KWA MCHEZO HUO.


SEHEMU YA MASHABIKI WA YANGA WAKIWA KATIKA JUKWAA LA KLABU HIYO KATIKA UWANJA WA JAMHURI.
0 comments:
Post a Comment