KUNA na matukio mengi ambayo tumekuwa tukikutana nayo yanayowakabili watoto.
Watoto wengine tunakuwa tunawafahamu na wengine hatuwafahamu.
Watoto wamekuwa wakijeruhiwa, wakifanyishwa kazi ngumu katika umri mdogo na pia hata kufanyishwa biashara ya ukahaba.
Pia hata ukifatilia swala la takwimu idadi ya watoto wanaoishi katika mazingira magumu (watoto wa mtaani) imekuwa ikiongezeka kadri siku zinavyokwenda.
Lakini inawezekana wote hatujui sababu ya mambo hayo. Katika kuperuzi peruzi mtandaoni nilikutana na kitu kinachoitwa Azimio la Haki za watoto baada ya kusoma na kumaliza niliamini kuwa endapo maazimio hayo 10 yote yatatekelezwa Ulimwengu utakuwa na amani kubwa.
KWA HABARI ZAIDI ZA WATOTO TEMBELEA BLOG YA mamanamwana.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment