Mkuu wa wilaya ya Morogoro, Said Amanzi kushoto akiongea na mfugaji wa
jamii ya wamang'ati, Sarah Kiteu katika kitongoji cha Muhungamkola kijiji
cha Muhungamkola kilichopo halmashauri ya wilaya hiyo anayedaiwa kuvamia eneo la kilimo na kuweka makazi kwa
ajili ya malisho ya mifugo wakati wa operesheni ya kikosi kazi cha
kamati ya ulinzi na usalama wilaya hiyo ya kutambua wafugaji
na wakulima waliovamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya matumizi
mablimbali katika tarafa ya Mikese mkoani hapa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment