Mwenyekiti wa simba Ismail aden Rage akiwa na emanuel Okwi jana usiku.
Emmanuel Okwi jana alisaini mkataba mpya na simba mpaka mwaka 2014.Okwi alisaini mkataba huo jana usiku kwenye hotel ya sheratoni jijini kampala uganda.
Okwi alisaini mkataba hou mbele ya mwenyekiti wa simba ismail Rage na mwenyekiti wa kamati ya usajili wa simba hans Pope,
0 comments:
Post a Comment