Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisaini kitabu cha wageni katika banda la Tanzania kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant, alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012. Kulia kwake ni Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Dkt. James Nzagi.
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akisalimiana na mmoja wa wajasiriamali kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant, alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012.
Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe, Pierre Nkurunziza akiongea na wajasiriamali kwenye maonesho ya 13 ya Nguvu Kazi/Jua kali yanayoendelea mjini Bujumbura Burundi katika viwanja vya Musee Vivant alipotembelea maonesho hayo tarehe 7/12/2012.
Picha zote na Mary Mwakapenda
Afisa Habari, Wizara ya Kazi na Ajira
0 comments:
Post a Comment