Katibu mkuu wa chadema Dr Wilbrod Slaa akiongea makao makuu ya chadema leo baada ya kumpokea lema.Dr Slaa akimkumbatia Lema baada ya kushinda rufaa yake leo.Godbless Lema akiwapungia wafuasi wa chadema mahakamani hapo leo.
Viongozi wa chadema wakiwa mahakamani tayari kusikiliza hukumu
Wafuasi wa chadema wakiwa na Lema baada ya kushinda kesi yake leo
Mbunge wa arusha Mh Godbless Lema wa pili kulia akiongozana na Mbunge wa ubungo Mh John Mnyika na Ndugu Kileo wakielekea ofisi za chadema makao makuu leo baada ya lema kushinda rufaa ya kupinga ubunge wake leo.
Mama Lishe naye akionyesha ishara inayotumiwa na Chadema baada ya kuacha kwa muda kazi ya kuivisha chakula wakati msafaraha wa Godbless Lema.
0 comments:
Post a Comment