BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAKAZI WA MTWARA NA MJI WA JIRANI WAANDAMANA KUPIGA GESI YAO KUHAMISHWA.


Mbunge wa Mtwara kulia kiwa na mbunge wa ruanga
 
WANANCHI wa Mtwara wameandamana kupinga kuhamishwa kwa gesi ambayo inachimbwa huko na kuletwa Dar es salaam, wananchi hao wanasema wameahidiwa na serikali ya kuwa gesi hiyo ingeweza kuwasaidia wao badala yake wanaambiwa gesi hiyo itasafirishwa na kuletwa jijini Dar.
 
Kwa hivi sasa wananchi hao wamekusanyika kwa wingi wakitoka maeneo mbali mbali nchini Tanzania na kushiriki maandamano hayo ambayo yanaonekana yatasaidia kuishinikiza serikali kurudisha gesi hiyo na ikaweza kuwasaidia wananchi wa mkoa huo. Kwa taarifa zaidi tutawaletea baadae.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: