BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFYA YA MANDERA YAENDELEA KUIMARIKA

 
NELSON MANDELA 94.

SERIKALI ya Afrika Kusini inasema rais wa zamani wa nchi hiyo, Nelson Mandela, hajambo baada ya ugonjwa wa mapafu na upasuaji wa kutoa mawe kwenye kibofu nyongo.

Alikuwa hospitali kwa majuma kadha mwezi wa Disemba.

Taarifa rasmi iliwanukuu madaktari waliomtibu wakisema kuwa  Mandela, mwenye umri wa miaka 94, amepata nafuu na afya yake inazidi kutengenea.

Rais huyo amebaki nyumbani kwake mjini Johannesburg tangu alipotoka hospitali siku 11 zilizopita.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: