MLINZI wa zamani wa klabu ya Jogoo ya Morogoro Yahaya Belin amefariki dunia mkoani hapa.
Katibu mkuu wa chama cha soka mkoa wa Morogoro (MRFA) Hamis Semkwa amedhibitisha kutokea kwa kifo chicho cha Mlinzi wa timu hiyo iliyokuwa na maskani yao makuu Boma Road miaka miaka 20 iliyopita.
Msiba upo nyumba Kidongo Chekundu Manispaa ya Morogoro.
BELIN NDIYE ALIYEIBUA KIPAJI CHA MLINZI WA KLBU YA SIMBA, SHOMARI KAPOMBE NA KUKIENDELEZA KATIKA TIMU YA VIJANA YA MORO KIDS CHINI YA TAASISI YA KUENDELEZA VIPAJI VYA MORO YOUTH.
KWA TAARIFA ZAIDI ENDELEA KUTUFUATILIA KATIKA BLOG YENU KADRI TUTAKAVYOZIPATA HABARI.
UONGOZI WA BLOG:JUMAMTANDA INAUNGANA NA NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI KATIKA KUOMBOLEZA KIFO CHA MPENDWA WETU YAHAYA BELIN.
0 comments:
Post a Comment