BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DKT KIKWETE AONGOZA MAELFU KATIKA MAZISHI YA SAJUKI MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR ES SALAAM MCHANA WA LEO.

 Rais Jakaya Kikwete akijandaa kuchota mdogo kwa ajili kuweka katika kabuli la Sadik Juma Kilowoko (SAJUKI) wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya Kisuti jijini Dar es Salaam mchana wa leo.
Baba mzazi wa marehemu Sajuki,mzee Kilowoko akiweka udongo kwenye kaburi la mwanaye.
 Ndugu, jamaa na marafiki wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Sadik Juma Kilowoko (SAJUKI) mara baada ya kuwasili kaktika makaburi ya Kisutu.
Mwili wa Marehemu Sajuki ukiwekwa kaburini mara baada ya kuwasiri katika nyumba yake ya milele.

Mwili wa marehemu SAJUKI ukiwa tayari umeingizwa ndani ya kaburi kwa ajili ya mazishi katika makaburi hayo ya Kisutu.

  

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na baba mzazi wa marehemu Sajuki  wakati wa mazishi ya msanii huyo  leo katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es salaam.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: