BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HABARI MPYA !!!!!!!!: SAJUKI AAGA DUNIA.



Juma Kilowoko ‘Sajuki’ akiwa katika baiskeli ya kusukumwa wakati akielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kwenda nchini India kwa matibabu hivi karibuni.
Habari zilizotufikia hivi punde zinasema msanii wa sanaa hapa nchini anayefahamika kwa jina la sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, endelea kutufuatilia ili kuweza kukuletea habari zaidi baadaye kidogo.....
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

Anonymous said...

R. I. P brother!