Juma Kilowoko ‘Sajuki’ akiwa katika baiskeli ya kusukumwa wakati akielekea Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya kwenda nchini India kwa matibabu hivi karibuni.
Habari
zilizotufikia hivi punde zinasema msanii wa sanaa hapa nchini
anayefahamika kwa jina la sajuki amefariki dunia leo asubuhi katika
hospitali ya Taifa ya Muhimbili, endelea kutufuatilia ili kuweza kukuletea habari zaidi
baadaye kidogo.....
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen.
1 comments:
R. I. P brother!
Post a Comment